Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid ameushauri uongozi wa Skuli ya Sheria Zanzibar kushirikiana na Tume ya Kurekebisha Sheria ili kusaidia kuwa na Sheria bora zinazotekelezeka.