Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center), ili kwenda sambamba na hatua ya serikali ya kuvutia Wawekezaji katika miradi mikubwa.Dk. Mwinyi amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, …