Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa agizo la kuanza kazi Mahkama ya Rushwa Zanzibar February 13, 2024
Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi mafanikio makubwa yatapatikana nchini. March 21, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma. March 3, 2022
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu za Mahakama March 3, 2022
Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center) February 18, 2022
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid ameushauri uongozi wa Skuli ya Sheria Zanzibar kushirikiana na Tume ya Kurekebisha Sheria ili kusaidia kuwa na Sheria bora zinazotekelezeka. October 4, 2021