President’s Office, Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance

THE LAW SCHOOL OF ZANZIBAR

March 2022

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi mafanikio makubwa yatapatikana nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi mafanikio makubwa yatapatikana nchini. Alhaj Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo katika salamu zake alizozitoa mara baada ya Sala ya Ijumaa huko katika Masjid Masoud uliopo Kiwengwa Kumbaurembo, …

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba iwapo jamii itazingatia mambo makubwa matatu likiwemo uadilifu, uaminifu na uwajibikaji basi mafanikio makubwa yatapatikana nchini. Read More »

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Dodoma,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria.Inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma. Read More »

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu za Mahakama

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuizindua Nembo ya Mahkama Kuu Tanzania wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma leo 23-1-2022 akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma. RAIS wa Zanzibar na …

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu za Mahakama Read More »