President’s Office, Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance

THE LAW SCHOOL OF ZANZIBAR

news

KIKAO CHA MAHKMA NA MAWAKILI WA SERIKALI NA WAKUJITEGEMEA

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla amewataka Mawakili wa Serikali pamoja  wa kujitegemea  kuwa na mashirikiano   Mahkama ili kuweza kutatua changamoto   wanazokabiliana nazo kwa  lengo la  kuhakikisha kuwa haki kwa wananchi zinapatikana bila upendeleo wa aina yeyote. Ameyasema hayo leo wakati alipofungua kikao cha pamoja baina ya  Mawakili wa Serikali, Mawakili wa kujitegemea na Mahkama  huko Afisi kwake  Tunguu …

KIKAO CHA MAHKMA NA MAWAKILI WA SERIKALI NA WAKUJITEGEMEA Read More »

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa agizo la kuanza kazi Mahkama ya Rushwa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameagiza taasisi zinazo husika na sheria kukamilisha mchakato wa utungaji wa sheria ili kuanza kazi kwa Mahkama Maalum ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi kwa mwaka huu. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar katika viwanja …

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa agizo la kuanza kazi Mahkama ya Rushwa Zanzibar Read More »

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Dodoma,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria.Inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma. Read More »

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu za Mahakama

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuizindua Nembo ya Mahkama Kuu Tanzania wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma leo 23-1-2022 akiwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma. RAIS wa Zanzibar na …

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza matumaini yake kuwa, iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vyema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu za Mahakama Read More »

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center), ili kwenda sambamba na hatua ya serikali ya kuvutia Wawekezaji katika miradi mikubwa.Dk. Mwinyi amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, …

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika kwa Zanzibar kuanzisha Kituo kwa ajili ya utatuzi wa migogoro ya kibiashara (arbitration center) Read More »