Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Jijini Dodoma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Dodoma,baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria.Inayotarajiwa kufanyika kesho 23-1-2022 Jijini Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …